
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpatia zawadi Askofu wa Dayosisi ya Dodoma, Festo Ngowo katika Ibada ya kumsimika Askofu huyo kwenye kanisa kuu la KKKT mjini Dodoma leo (Picha: PMO).

President Jakaya Kikwete is in Cairo, Egypt to attend the 4th Forum on China-Africa Cooperation (FOCAC). This meeting is seen by many as a forum by China to expand its diplomatic and economic influence in this resource rich continent (Picture: Ikulu).

MOTO umeteketeza klabu maarufu ya burudani jijini Dar es Salaam iitwayo Maisha Club.Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinadai kuwa, moto huo ulianza saa nane mchana na kwamba hadi sasa juhudi za kuuzima zinaendelea.Klabu hiyo inayomilikiwa na Hellen Sweya iliyopo maeneo ya Oysterbay ,...

Nakubaliana na Kipanya, Kwa kweli tumezidi na mambo ya stika. Tuna stika za:BimaRoad LicenceUsalama barabaraniNa sasa ya fire extinquisherNa kwa wale wenye magari ya biashara wana leseni ya biasharaNa bado baadhi yetu utakuta hatubandui za miaka iliyopita. Kazi kweli kweli.

Leo nimekumbuka kupitia mtandao wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inayoongozwa na Mama Salma Kikwete nikakutana na taarifa inayowataka wanawake watakaopigwa na waume zao au kupewa talaka kutokana na kitendo cha kwenda kupima virusi vya Ugonjwa wa UKIMWI wampe taarifa ili aweze kuchukua...

A newly wed wife in the US got a shock of her life when she discovered that she is allergic to her husband sperm.Prior to marriage Julie Boyde and her husband Mike used condoms during sex. When they tried unprotected sex after marriage, her body rejected the semen, causing severe bodily pain...

The incident which occurred in Mysore City, India, on 31st October 2009 leading to the arrest of one (1) Kenyan and nine (9) Tanzanian students has raised a lot of concern among foreign students, in particular Africans based in Mysore and other training colleges in India...

Sheria na kanuni zinazosimamia usafi wa Jiji zipo lakini tatizo limekuwa ni utekelezaji na usimamizi wa sheria hizi.Hivi karibuni Utawala wa Jiji umeunda kikosi maalum cha kusimamia sheria hizi pamoja na kutoa ilani kwa wananchi.Kwa mtazamo wangu binafsi kuunda vikosi bila kuweka mazingira mazuri...

Faustine's Baraza .....Politics in Tanzania are getting seriously twisted.....It is all about me and what the country can do for me, the common people are completely forgotten.......

Makamu wa Rais Dk.Ali Mohamed Shein katikati, akikata utepe kuzindua nyumba tatu za Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza jana. (Picha: VPO).

Spika wa Bunge, Samuel sitta akimwelezea jambo Balozi wa Sweden nchini, Staffan Herrstrom (Kulia) ambaye pia nchi yake inashikilia urais wa Jumuiya ya Ulaya walipomtembelea jana Ofisi kwake kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu mkutano wa 17 wa Bunge unaondelea (Picha: Owen Mwandumbya).

I welcome the death sentence by hanging meted out to four men in Shinyanga, Tanzania who were charged with killing an albino Lyaku Willy, a boy aged 10 years, at Kidamlida River at Nkwindwabuye Village in Bariadi District last year.This morning a section of international media covered the sad story...

The United States Deputy Secretary of Treasury Neal Wolin announces during a press briefing yesterday that the US Government has authorised $37.7 million for "economic stimulus" to Tanzania during a meeting with President Jakaya Mrisho Kikwete(seated center) and the Minister for Finance Mustafa...










