"Ni asilimia kubwa sana ya wanafunzi wasioweza kupata masomo ya mtan...daoni, haswa wale walio mashinani. Serikali inafaa kuweka mikakati itakayohakikisha wanafunzi wote wanapata elimu" - Prof Henry Onderi #NTVSasaSee More
Masomo ya Mtandaoni:
Godfrey Mikisi, Mwalimu wa Light Academy aelez...a jinsi shule hiyo imeweza kuwafikia wanafunzi asalimia 99% na pia kupunguza karo ya shule. #NTVSasaSee More
Mjadala wetu unaangazia masomo ya mtandaoni na changamoto zilizopo. ...
Wageni; Godfrey Mikisi (Mwalimu, light Academy) na Wycliffe Kibisu (Afisa mkuu mtendaji, Dschool World of Learning)
#NTVSasaSee More