PhotosSee All
Image may contain: 1 person
Image may contain: 4 people
Image may contain: 2 people , text
ReviewsSee All
78 Reviews
Tell people what you think
Manny Alkado Kasi
· November 14, 2016
The best weekly informative newspaper. I've been reading it since 2008.
Adam's King Jr.
· November 15, 2016
A number one reporter on my life,read it for more information and entertainment
VideosSee All
Samuel John Sitta
2
PostsSee All

Hilo ni suala la ndotoni. Lakini si ndoto ya kila mtu. Na, kwa kweli, sio kila mtu anaweza kukubali kwamba Fidel alikuwa ni Daudi au Goliathi.

Soma makala hii hapa https://goo.gl/thhDzW

Fidel Castro: Alikuwa Daudi au Goliathi? Dec 06, 2016by Mwandishi Wetu in Makala Kaburi alipozikwa Fidel Castro Mnamo mwaka 1959, Fidel Castro aliondoka mjini Santiago de Cuba kwa msafara mrefu wa magari kuelekea Havana. Karibu miaka 60 baadae, mabaki yake yamebebwa kupitia njia ile ile, kwa kurudi…
raiamwema.co.tz

Wakati matokeo ya utafiti huo yakitoka, D’Asaro na rafiki yake waliamua kwenda Petco na kununua aina mbalimbali ya wadudu na kuanza kujiuliza ni namna gani atashawishi watu kuwa wadudu ni muhimu katika afya ya binadamu.

D’Asaro anasema kwamba, baada ya kufanya maandalizi na majaribio akigundua kwamba watoto ndio walionekana kuwa wateja wakubwa wa bidhaa hizo.

Zaidi, bofya hapa https://goo.gl/Sgc6ri

Laura D’Asaro: Biashara ya wadudu lishe yamtajirisha Dec 08, 2016by Mwandishi Wetu in Makala Laura D’AsaroWAKATI Laura D’Asaro akiwa mwanafunzi wa chuo Kikuu cha Havard alitembelea Tanzania na siku moja alimuona mchuuzi mmoja akiuza wadudu mfano wa viwavi na hapo ndipo alipoamua kujaribu kuwao...
raiamwema.co.tz
Posts

Matumizi ya mafuta ya taa, kwa mujibu wa wataalamu wa mazingira yanachangia kwa kiwango kikubwa kuchafua ziwa Victoria kwani karabai zinazotumiwa wakati mwingine humwaga mafuta ziwani.

Zaidi, click hapa https://goo.gl/mNQPJx

Matumizi ya mafuta ya taa kuvua dagaa kukomeshwa Dec 08, 2016by Mwandishi Wetu in Utalii na Mazingira WAVUVI wa dagaa kwenye ziwa Victoria sana wameanza majaribio ya teknolojia mpya ya taa zinazotumia nishati ya jua, badala ya matumizi ya karabai zinazotumia mafuta ya taa. Kwa takriban miaka zaidi y...
raiamwema.co.tz

Ameyataja mambo ambayo yatakwamisha sekta ya gesi kuchangia kwa kiwango kikubwa kwenye uchumi kuwa ni kukabiliana na mataraji makubwa baina ya wananchi na wanasiasa.

Ameishauri Tanzania kuhakikisha kwamba inaendeleza wataalamu mbalimbali kwa ajili ya sekta hiyo.

Zaidi, soma hapa https://goo.gl/cZjHmF

Mambo yatakayokwamisha sekta ya gesi yatajwa Dec 08, 2016by Mwandishi Wetu in Uchumi na Biashara MTAFITI kutoka Chuo Kikuu cha Warwick nchini Uingereza Profesa Alan Roe amebainisha mambo kadhaa ambayo anaamini iwapo hayatashughulikiwa, basi yatasababisha sekta ya gesi kushindwa kunufaisha uchumi wa…
raiamwema.co.tz

Baadhi ya wachambuzi huko Washington na New Delhi wanaona kwamba demokrasia hizo kubwa mbili kama washirika wa asili, hasa kutokana na China kuzidi kuonyesha makucha yake katika ukanda huo, kama vile ujenzi wa visiwa vikiwa na vifaa vya kijeshi.

Zaidi, soma hapa https://goo.gl/CNSFpV

Waziri wa Ulinzi wa Marekani kuimarisha uhusiano na India ili kuikabili China Dec 08, 2016by Mwandishi Wetu in Kimataifa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Ash Carter. New Delhi (CNN) WAZIRI wa Ulinzi wa Marekani anayemaliza muda wake Ash Carter jana ametua nchini India, katika jitihada zake za mwisho ku...
raiamwema.co.tz

“Baraza zote za maduka na nyumba za kuishi ziwe wazi. Msako ukipita bidhaa zitakazoonekana zitachukuliwa na mwenye duka na nyumba wote watachukuliwa hatua.

Zaidi, soma hapa https://goo.gl/F7QWJD

Serikali yawageukia wenye maduka Mwanza Dec 08, 2016by Christopher Gamaina in Kanda ya Ziwa BAADA ya kufanikiwa kuwaondoa wafanyabiashara ndogo-ndogo (machinga) katikati ya Jiji la Mwanza wiki iliyopita, serikali sasa imewageukia wenye maduka kwa kuwapiga marufuku kuweka bidhaa zao kwenye baraza za…
raiamwema.co.tz

Ndani ya CDU, wanachama wamekuwa na minong’ono kwamba Merkel ameshindwa kuona matakwa ya watu.

Na hii, labda ndiyo maana amefanya uamuzi mkubwa wa kisiasa – uamuzi ambao umeshutumiwa na makundi yanayotetea haki za wakimbizi: kuunga mkono upigaji marufuku wa mavazi yanayofunika uso.

Zaidi, soma https://goo.gl/SQfBnf

Uchambuzi: Kwa nini Angela Merkel anataka kupiga marufuku hijab? Dec 08, 2016by Mwandishi Wetu in Kimataifa Berlin, Ujerumani (CNN) Chansela wa Ujerumani Angela Merkel sio mtu wa kupayuka. Katika kipindi cha miaka 11 kama kiongozi wa Ujerumani, hotuba zake mara nyingi hutoa uchambuzi wa masuala magu...
raiamwema.co.tz

Washauri wa biashara waliozungumza na Raia Mwema mwishoni mwa wiki jana wamebainisha kwamba kiwango cha fedha zinazotarajiwa kukusanywa ni kikubwa mno, ukilinganisha na uwezo wa kifedha wa wawekezaji wengi wa ndani.

Zaidi, soma hapa https://goo.gl/fTDgH4

Hisa za Vodacom mtihani Dec 08, 2016by Mnaku Mbani in Habari HISA za awali za kampuni ya huduma za simu za mkononi ya Vodacom ambazo huenda zikaanza kuuzwa kwenye soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) mapema mwakani, zitakuwa ‘mtihani’ kwa Watanzania. Tahadhari hiyo imetolewa na washauri wa uwekezaji…
raiamwema.co.tz

Obama amesema matumizi ya bangi hayapaswi kufanywa kuwa kosa la jinai bali yachukuliwa kama kosa la kiafya pale tu mhusika anapozidisha matumizi yake hadi kupata madhara ya kupindukia (addiction).

Zaidi, soma https://goo.gl/rnBCGm

Rais Obama aondoka Ikulu akishauri bangi iwe ruksa kama sigara, pombe Dec 08, 2016by Mwandishi Wetu in Kimataifa WASHINGTON, MAREKANI RAIS wa Marekani anayemaliza muda wake, Barack Obama, amesema anadhani matumizi ya bangi yaruhusiwe lakini udhibiti wake ufanyike kama ilivyo katika matumizi ya sigar...
raiamwema.co.tz

Rais Jakaya Kikwete, akamteua Joyce Ndalichako, aliyekuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA.

Katika kipindi cha miaka michache tu, tatizo la kuvuja kwa mitihani likaanza kupungua kama si kumalizika kabisa. Wafanyakazi waliokuwa NECTA wakati huo, wanasema kama kuna mtu aliyestahili sifa kwa mafanikio hayo alikuwa ni mmoja; Joyce Ndalichako.

Zaidi, soma https://goo.gl/vYoeu7

Ndalichako: Waziri anayemudu kufuta makosa ya watangulizi Dec 08, 2016by Ezekiel Kamwaga in Habari ………. WIKI hii, gazeti hili linaendelea na uchambuzi wa utendaji kazi wa mawaziri wa wizara muhimu za serikali ya Rais John Magufuli. Mfululizo huu ni sehemu ya maadhimisho ya mwaka mmoja madarakani wa…
raiamwema.co.tz

Taarifa ya kuondolewa kwa WAMA kwenye orodha hiyo imetolewa na Kamishna Mkuu wa TRA, Alphayo Kidata, Jumatatu jioni wiki hii, ikiwa ni taarifa ya tatu kutolewa na taasisi tatu tofauti nchini kuhusu orodha ya mnada huo, ndani ya siku chache.

Zaidi, soma https://goo.gl/qVtX4J

Mnada wa wadaiwa sugu TRA waingiliwa Dec 08, 2016by Mwandishi Wetu in Habari MNADA wa mali za wadaiwa sugu waliotangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Novemba 26, mwaka huu, umeingia doa, baada ya taasisi hiyo kurekebisha orodha ya wadaiwa wake hao iliyowatangaza awali. Katika orodha hiyo iliy...
raiamwema.co.tz

“Rubani kwa rubani, meli kwa meli, Japan inaweza kusimama na yeyote,” alisema John T. Kuehn, profesa wa historia ya kijeshi katika Komandi ya Jeshi la Marekani.

Soma habari kamili https://goo.gl/3v5Pzm

‘Jeshi la Japan lina uwezo kupambana na yeyote’ Dec 07, 2016by Mwandishi Wetu in Kimataifa Ndege za kivita za Japan aina ya F-15J.MIAKA 75 baada ya shambulizi baya zaidi dhidi ya jeshi la majini la Marekani huko Pearl Harbor, Japan sasa imejijenga kuwa miongoni mwa mataifa yenye nguvu zaidi za kijes...
raiamwema.co.tz

Kwa mujibu wa taarifa ya hali ya UKIMWI duniani kutoka Shirika la Mpango wa UKIMWI la Umoja wa Mataifa – Tanzania (UNAIDS) kwa mwaka 2015, Jiji la Dar es Salaam limekuwa kati ya majiji Barani Afrika yenye kiwango kikubwa cha maambukizi ya UKIMWI.

Soma habari hii https://goo.gl/GCVIjl

Wanawake waongoza kwa maambukizi ya ukimwi nchini Dec 07, 2016by Mwandishi Wetu in Habari Mbali na jitihada za makusudi za Serikali na wadau wa mapambano dhidi ya UKIMWI nchini bado hali siyo ya kuridhisha ambapo Jiji la Dar es Salaam linashika nafasi ya Sita barani Afrika kwa maambukizi ya ugonjwa…
raiamwema.co.tz

Mbali na hayo Waziri Ummy amesema kuwa takwimu zinaonesha katika mwezi Novemba 2016 jumla ya mikoa sita ikiwemo Morogoro yenye wagonjwa 282, Dodoma 96 na vifo 2, Mara 31, Kigoma 30 na vifo 4, Arusha 11 na Dar Es Salaam 8 kutoka wagonjwa 250 na vifo 4 kwa mwezi Oktoba mwaka huu.

Soma habari hii https://goo.gl/4tkmSv

Mikoa na halmashauri zatakiwa kuweka tahadhari juu ya kipindupindu Dec 06, 2016by Mwandishi Wetu in Habari Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kushoto akipokea vifaa mbalimbali vya matibabu ya mabadiliko ya awali ya Saratani ya mlango wa kizazi vyenye thamani tak...
raiamwema.co.tz

China ilijibu kwa hasira juu ya simu ya Taiwan, kwa kusema kwamba inaonyesha kuwa Trump amekosa uzoefu.

Trump kupitia ukurasa wake wa Twitter alituma ujumbe unaoonyesha yale aliyokuwa akiyasema wakati wa kampeni dhidi ya China.

Soma habari kamili https://goo.gl/6zhhWN

Mazungumzo ya simu baina Trump na rais wa Taiwan yalipanga kuiudhi China Dec 05, 2016by Mwandishi Wetu in Kimataifa Rais Tsai Ing-wen akizungumza na Rais Mteule wa Marekani Donald Trump kwa njia ya simu. Washington, D.C. SIMU iliyovunja itifaki ya Rais Mteule wa Marekani Donald Trump kiongozi wa Tai...
raiamwema.co.tz

Alisema viwanda chini ya kampuni hiyo, vinazalisha bidhaa nyingi zenye ubora lakini makampuni yanashindwa kununua na kupenda zaidi kununua bidhaa za nje.

Soma habari kamili hapa https://goo.gl/IAjtxf

Majaliwa azishukia halmashauri nchini Dec 03, 2016by Mwandishi Wetu in Kanda ya Kaskazini WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amezitaka halmashauri za majiji, manispaa na miji,kutumia mabomba ya maji yanayozalishwa nchini badala ya kuagiza bidhaa hiyo toka nje. “Sioni sababu ya wahandisi wa Halmashauri n...
raiamwema.co.tz