Photos
Videos
Diamond aonjesha kipande cha wimbo wake unaokuja: "Nitampata wapi"
123
27
Shilole aka Shishi baby na laazizi wake Nuh Mziwanda wakionyeshana mapenzi jukwaani
27
12
Utafanyaje tairi la baiskeli likichomoka wakati unaiendesha?
7
5
Posts
Image may contain: outdoor
Vituko

Kuna shida ya maji, na shida ya maji. Jamaa anatumia mkojo wa ng'ombe kuosha uso hukoo jimbo la Ikweta, Sudani ya Kusini,

Msaada wakuu wa miaka ya 90, hii nyimbo ya Defao inaitwaje? Nimesahau jina, muda mrefu sana

AFRICA FROM A-Z : CONGO - DEFAO MATUMONA
youtube.com
Posts
Image may contain: 2 people
Vituko

Amesahau magoti? Bondia maarufu nchini Ghana, Bukom Banku, kabla...na baada ya kujichubua

Kapatikanaaa! Madereva wehu sio Bongo tu. Huko Brazil, huyu dereva aliamua kukwepa foleni na kuingia kalika barabara ya BRT(Bus Rapid Transit) ambayo hairuhusiwi magari binafsi. Ambacho hakufahamu ni kwamba sehemu hii ya barabara ilikua matengenezoni na zege bado halijakauka. Jionee yaliyomkuta kwenye hizi picha

Image may contain: car and outdoor
Image may contain: outdoor
Image may contain: outdoor

Mama yake Tupac, Afeni Shakur(pichani) afariki dunia.

Image may contain: 1 person, outdoor

Daraja la Kigamboni, baada ya kufunguliwa

The Kigamboni Bridge is finally open! Take a drive across the new bridge with Dar Post. Video: Daniel Hayduk
youtube.com
It looks like you may be having problems playing this video. If so, please try restarting your browser.
Close
Posted by Vituko
37,076 Views
37,076 Views
Vituko

Jionee mwenyewe tu

Video yainasa helicopter ikianguka ufukweni mwa Pearl Harbor. Helicopter ilikua na abiria watano. Wote waliokolewa wakiwa hai ingawa mmoja yupo katika hali mahututi

It looks like you may be having problems playing this video. If so, please try restarting your browser.
Close
Posted by BlogSy Tanzania
3,173 Views
3.1K Views

Manute Bol akinyoosha viungo kabla ya mechi

Image may contain: one or more people
It looks like you may be having problems playing this video. If so, please try restarting your browser.
Close
Posted by Vituko
24,656 Views
24,656 Views
Vituko

Hizi ndondi...LOL... Utacheka tu

Floyd Mayweather Vs. Muhammad Ali

Image may contain: one or more people

Huyu ni Magufuli au Masanja Mkandamizaji!? Hahaha!

It looks like you may be having problems playing this video. If so, please try restarting your browser.
Close
Posted by BlogSy Tanzania
6,188 Views
6.1K Views
BlogSy Tanzania added a new photo — with Lusajo Mwakibuja and 15 others.
Image may contain: one or more people and text
It looks like you may be having problems playing this video. If so, please try restarting your browser.
Close
Posted by Vituko
35,604 Views
35,604 Views
Vituko

Nimecheka mpaka machozi yametoka! Mkwara mwingi kumbe....

It looks like you may be having problems playing this video. If so, please try restarting your browser.
Close
Posted by Vituko
13,257 Views
13,257 Views
Vituko

Hiki kipaji au mazingaombwe...Kha! Huyu jamaa ni mwanzo mwisho