Photos
Posts

VIGEZO ALIVYOVITUMIA MULOKOZI KATIKA KUGAWA TANZU NA VIPERA VYA FASIHI SIMULIZI:
KATIKA MULIKA (1989) NAMBA 21
Kwa mujibu wa Mulokozi katika Mulika namba 21(1989). Pamoja na kwamba Fasihi ni kongwe lakini kitaaluma bado
ni changa kwa sababu ilianza kuchungunzwa hivi karibuni. Hivyo imepelekea kutokuwepo kwa nadharia, marejeo,
wala istilahi zenye kutosheleza mahitaji ya taaluma hiyo. Tatizo hili linadhihirika pale tunapoangalia kazi za...

Continue Reading

Adhabu ya kaburi aijua maiti, The touture of the grave is only known by the corpse
2. Akiba haiozi, A reserve will not decay
3. Asifuye mvuwa imemnyea. He who praises rain has been rained on.
4. Akili nyingi huondowa maarifa. Great wit drives away wisdom
5. Asiye kubali kushindwa si mshindani. He who does not admit defeat is not a sportsman...

Continue Reading
Posts

Wazami wauziwani,wa
mawimbi ya miuya .Muzamau
zizimbwini,mahodari wa
kuweya.Kwa kuwama na
kwatani ,kubebuwa zenu...
ziya.Nauza changu
kimiya,kichatiya cha shikani.

See More

Iwapo chako si chako,usalama siutake
Ufanyiwapo vicheko,ujeuri na makeke
Bora liwe sikitiko,unyonge usiuweke
Kama kuishi kuchungu,kifo huwa ni kitamu.......
TAFAKARI HAYO....

Kuna masikini,wasonacho
waso masikani,na walacho
Hawa viumbe vya Mungu...

Fasihi kama nyenzo ya kuendeleza utamaduni,imekuwa ni amali ya kimsingi ya kuleta ufungamano katika jamii.

Istillahi za fasihi simulizi.Fafanua ile unayojua na uongeze zingine zaidi.
Utanzu
Kipera
Ghani
Manju...
Mutribu
Fanani
Miviga
Tambiko
Mwiko

See More

Kamusi ya Fasihi na Istillahi.

Zitavuma
Zitakoma
Nitakwima
Mti-mle

...

Na muda nikisimama
Nitatongowa nudhuma
Kwa tenzi zilizo njema
Nijisifu Mti-mle

Malenga w Vumba

See More

Wazami wauziwani,wa mawimbi ya miuya
Muzamau zizimbwini,mahodari wa kuweya
Kwa kuwama na kwatani,kubebuwa zenu ziya
Nauza changu kimiya,kichatiya cha shikani

Umbuji wa Kiwandeo na Sheikh Ahmed Nabahany

Wanafasihi yetu salaam aleikum.

Fasihi ni ni jumla ya amali za kijamii.

Amir Zola

Mko hali gani mabingwa wa Fasihi.

Mamangu Zainabu Makame alizaliwa Mwanza Tanzania magharibi.................

Wahusika bapa sugu ni wahusika gani?