You like thisBe the first of your friends to like this
  • Jefta Fula Jr.
  • Anusiatha Lyimo
  • Msofe Patrick
  • Mzee Ulomi

News Feed

Jumamosi hii GWIJI LA HABARI TANZANIA linakuja na kali hizi... Usilikose HABARILEO

Vyama vya siasa vyapata ahueni

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema mikutano ya kisiasa itaruhusiwa wakati wa kampeni za uchaguzi katika Jimbo la Dimani Zanzibar na kata 22 ambazo zitafanya uchaguzi wa madiwani na mikutano hiyo inatakiwa kufanyika katika maeneo husika tu, huku ikieleza kuwa kwa mgombea wa CUF atatakiwa kusainiwa fomu zake na viongozi wote wa juu wanaotambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa.

Soma zaidi:

... See More
63
16
2

Rais Magufuli kuandika historia miaka 55 ya Uhuru

RAIS John Magufuli leo anatarajiwa kuongoza Watanzania katika kilele cha maadhimisho ya Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara, yatakayofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mara yake ya kwanza kushiriki sherehe hizo.

Soma zaidi:

... See More

Nape awatoa hofu waandishi

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amewatoa hofu waandishi wa habari nchini kuhusu Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari iliyosainiwa hivi karibuni na Rais John Magufuli na kusema sheria hiyo haikandamizi uhuru wa kutekeleza majukumu yao.

Soma zaidi:

... See More

Wanaume 45 wadai kupigwa na wake zao

WANAUME 45 walio kwenye ndoa wilayani Nkasi katika Mkoa wa Rukwa wamevunja ukimya wakidai kupigwa na kutelekezwa na wenzi wao, imebainika.

Soma zaidi;

... See More
30
11
1