Reviews
WEZESHAsasa has no reviews yet.
Tell people what you think
Photos
Posts

Asante kwa watanzania UKARIMU wenu. Tsh Milioni 3.525 zilichangwa na kukabidhiwa kwa Zainab kwaajili ya MATIBABU. Zainabu anasubiri tarehe yake ya oparesheni wa uti wa mgongo! Michango yote hapa: wezeshasasa.com/zainab

Tembelea www.wezeshasasa.com kuchangia / kuomba sapoti

Image may contain: 3 people, people smiling, people standing
Image may contain: 3 people, people smiling, people standing
Image may contain: 2 people, people smiling, text
Posts

We are truly grateful for joining hands with us in touching and transforming life of this pretty angel...she's back all tall and healthy...thanks for standing tall with her thanks for creating that smile be blessed abundantly ASANTENI NA TUNAWAPENDA SANA.

Much appreciation to Stand Tall International who organized this whole campaign and see it to reality.

You can check her campaign page here: https://wezeshasasa.com/jamila

... See More

Karibu kuendelea ku #RudishaTabasamuMiaMoyo kwa kuchangia matibabu ya moyo ya watoto 100. Endelea kuchangia kupitia simu ya mkononi. Fuata maelekezo hapa http://wezeshasasa.com/moyo

Image may contain: 1 person, smiling

RAMBIRAMBI KWA WAFIWA WA MSIBA WA SHULE YA LUCKY VINCENT KWA NJIA YA SIMU (Tigo Pesa, Mpesa, Airtel Money)

Tunaungana na watanzania wenzetu katika kipindi hiki cha huzuni na majozi makubwa sana kwa wafiwa na kwa taifa zima. Wanafunzi (32), walimu (2) na dereva (1) walipoteza maisha katika ajali iliyotokea Jijini Arusha, wakiwa katika msafara wa shule yetu ya Lucky Vincent ya Arusha ambapo walikuwa wakienda kufanya mtihani wa kujipima uwezo na wanafunzi wa shule ya Tumaini Jun...ior School iliyopo Karatu.

Tunaweza kuungana zaidi na wafiwa tukiwa mbali kwa kutoa rambi rambi zetu kwa kupita WEZESHAsasa kwa kufuata maelezo hapa chini. Pesa zote zinapokelewa moja kwa moja na kuratibiwa na uongozi wa shule. Mchango huu kwa sasa utaelekezwa kwa ajili ya rambirambi kwa wafiwa wote na kuratibu shughuli nyingine za msiba.

Ukurasa huu https://wezeshasasa.com/lucky ni maalumu kwaajili kutoa taarifa ikiwemo jumla ya makusanyo ya rambirambi kupitia njia hii na namna ya kuchangia rambirambi.

Waweza pia kuchangia hapo hapo ulipo kwa simu
> Toa rambirambi kupitia TiGO Pesa, M-PESA na Airtel Money
> Chagua kulipa/kufanya malipo kwa mtandao husika,
> Chagua kuweka namba ya kampuni
> Weka namba ya kampuni 150150
> Weka Kumbukumbu na. 500500 kisha weka kiasi kukamilisha rambirambi yako
> Utapokea namba ya mchango wako wa rambirambi kutoka WEZESHAsasa

KWA MAWASILIANO ZAIDI
Mr. Jackson Raphael 0756779097 (Mkuu wa Shule, Lucky Vincent)
Mr. Michael Riziki 0768965001 (Mratibu wa Rambirambi)

Asante kwa kuchangia na kushirikisha wengine.

See More

R.I.P Little Angels. Maombi na sala zetu ni kwa watu wote waliofikwa na msiba huu. Kwa walioguswa na wanahitaji kutoa rambirambi kwa simu (TiGO Pesa, Airtel Money, Mpesa) hapo hapo ulipo kwaajili wa wafiwa tembelea pamoja na kuona michango yote, tembelea https://wezeshasasa.com/lucky

Kwa mawasiliano zaidi:
Mr. Jackson Ephraimu 0756779097 (Mkuu wa Shule)
Mr. Michael Riziki 0768965001 (Mratibu wa Rambirambi)

No automatic alt text available.

RAMBIRAMBI KWA WAFIWA WA MSIBA WA SHULE YA LUCKY VINCENT KWA NJIA YA SIMU (Tigo Pesa, Mpesa, Airtel Money)

Tunaungana na watanzania wenzetu katika kipindi hiki cha huzuni na majozi makubwa sana kwa wafiwa na kwa taifa zima. Wanafunzi (32), walimu (2) na dereva (1) walipoteza maisha katika ajali iliyotokea Jijini Arusha, wakiwa katika msafara wa shule yetu ya Lucky Vincent ya Arusha ambapo walikuwa wakienda kufanya mtihani wa kujipima uwezo na wanafunzi wa shule ya Tumaini Ju...nior School iliyopo Karatu.

Tunaweza kuungana zaidi na wafiwa tukiwa mbali kwa kutoa rambi rambi zetu kwa kupita WEZESHAsasa kwa kufuata maelezo hapa chini. Pesa zote zinapokelewa moja kwa moja na kuratibiwa na uongozi wa shule. Mchango huu kwa sasa utaelekezwa kwa ajili ya rambirambi kwa wafiwa wote na kuratibu shughuli nyingine za msiba.

Ukurasa huu https://wezeshasasa.com/lucky ni maalumu kwaajili kutoa taarifa ikiwemo jumla ya makusanyo ya rambirambi kupitia njia hii na namna ya kuchangia rambirambi.

Waweza pia kuchangia hapo hapo ulipo kwa simu
> Toa rambirambi kupitia TiGO Pesa, M-PESA na Airtel Money
> Chagua kulipa/kufanya malipo kwa mtandao husika,
> Chagua kuweka namba ya kampuni
> Weka namba ya kampuni 150150
> Weka Kumbukumbu na. 500500 kisha weka kiasi kukamilisha rambirambi yako
> Utapokea namba ya mchango wako wa rambirambi kutoka WEZESHAsasa

KWA MAWASILIANO ZAIDI
Mr. Jackson Raphael 0756779097 (Mkuu wa Shule, Lucky Vincent)
Mr. Michael Riziki 0768965001 (Mratibu wa Rambirambi)

Asante kwa kuchangia na kushirikisha wengine.

See More

WEZESHA NDONDO ni kampeni ambayo inamalengo ya muendelezo wa mashindano ya Sports Xtra Ndondo Cup. Kampeni hii dhumuni lake kubwa ni kuchangia ujenzi wa miundombinu ya mpira wa miguu katika maeneo ambayo hayana kabisa au yanahitaji maboresho. Hii inajumuisha ukarabati wa majukwaa, ukuta (uzio) wa uwanja, vyumba vya kubadilishia nguo, sehemu ya kuchezea (pitch) n.k.

Katika kufanikisha hili kila mdau na mpenzi wa mpira wa miguu anaombwa kuchangia kuanzia kiasi cha shilingi mia mbili (TZS 200/=) na kuendelea kutokana na uwezo wako.

#WEZESHANDONDO http://wezeshasasa.com/ndondo

Image may contain: one or more people and outdoor

KAMPUNI YA TIME TICKETS, leo imezindua rasmi mfumo wa kisasa wa uchangishaji pesa unaotambulika kwa jina la WEZESHAsasa. Mfumo huu wa kwanza kubuniwa kwenye historia ya uendeshaji wa uchangiaji wa hiyari (harambee) Tanzania, unayahakikishia mashirika yasiyo ya kiserikali, asasi za kirai, vikundi, idara za serikali na taasisi za kidini kuwa, hivi sasa kazi zote za uratibu wa michango ya hiyari zinaenda kufanyika kwa uwazi na ufanisi wa hali ya juu.

Kufahamu zaidi tembelea Visit www.wezeshasasa.com/ pakua taarifa nzima kwa umma hapa hapa https://goo.gl/bnWTqU

Image may contain: text

PRESS RELEASE: NEW FUNDRAISING PLATFORM REVEALED

Dar es Salaam, Tanzania –1st May 2017: TiME TICKETS, today announced the release of the WEZESHAsasa, the Tanzania’s first ever fundraising platform to give individuals, faith based organizations, NGOs, government institutions and wider public a cutting edge end-to-end management tools to enhance fundraising success.

Visit http://wezeshasasa.com/ for more https://goo.gl/VArShv

Image may contain: text
Image may contain: 2 people

"WEZESHAsasa" - Mfumo wa kwanza na wa kisasa wa uchangiaji wazinduliwa rasmi Tanzania!

Kampuni ya TiME Tickets, leo imezindua rasmi mfumo wa kisasa wa uchangishaji pesa unaotambulika kwa jina la WEZESHAsasa. Mfumo huu wa kwanza kubuniwa kwenye historia ya uendeshaji wa uchangiaji wa hiyari (Harambee) Tanzania, unayahakikishia mashirika yasiyo ya kiserikali, asasi za kirai, vikundi, idara za serikali na taasisi za kidini kuwa, hivi sasa kazi zote za uratibu wa michango ya hiy...ari zinaenda kufanyika kwa uwazi na ufanisi wa hali ya juu.

See More