Photos
Videos
Msipige mabomu
4.5K
444
Comical Ali wa Tanzania - Ali Kessy afunguka asema Roma angenyongwa tu, kwa nini serikali imemwachia? Aliuliza kwa hasira.. now you have it!.. Serikali ndio iliwateka kina Roma. Ali Kessy Aka Comical Ali wa Tanzania, mbungu wa CCM amedhibitisha bungeni kuwa serikali yake ndio ilimteka Roma na wenzake alipoilalamikia serikali yake ya kidikteta ucharwa kwa nini Roma Mkatoliki anamtukana Rais halafu anaachiwa? Utawala gani huu? Aliuliza kwa hasira, Je hawajaona mfano wa Rwanda? Wangemnyonga tu! Kumbe Tanzania tuna mabashite kibao? ...Bashite sio lazima uwe Makonda ata huyu Comical Ali wa Tanzania AKa Ali Kessy ni Bashite kweli kweli Tanzagiza #SikaiKimya 🍺🍺🙈🙈 Swali la kizushi lililozagaa kila kona hapa nchini; Je hivi Bashite anampa nini Pombe mpaka hajitambui? Daudi Albert Bashite anatakiwa awe Gerezani sio ofisini! #pombesiochai #mwafa #usirudiekosa2020
2.7K
1.9K
Posts
It looks like you may be having problems playing this video. If so, please try restarting your browser.
Close
Posted by Tanzagiza
151,195 Views
151K Views
Tanzagiza added a new photo — with Nakyanzi Christine and 34 others.
May 6, 2017
Image may contain: text
Posts
Tanzagiza is with Paka Nyeusi and Kimawazo SI Kipesa.
May 3, 2017

::SERIKALI INAFICHA JAMBO KUHUSU UNUNUZI WA NDEGE MPYA-ZITTO KABWE::

“Serikali inaficha jambo kuhusu Dreamliner 787-8, Tunaambiwa kwamba Ndege tunayonunua Boeing 787-8 Dreamliner Ndio kwanza inaundwa. Sio Kweli. Ndege hiyo iliundwa mwaka 2009 na kinachofanyika Sasa ni kubadilisha Injini yake Kwa sababu Injini za ndege hizo zilikuwa na matatizo ya kuwaka moto ( imetokea Kwa Ethiopian na Nippon Air ya Japan ). Hivi sasa kuna ushindani mkubwa kati ya Kampuni ya GE ya Marekani na...

Continue Reading
No automatic alt text available.

......Hapo Chacha

Watanzania Mjue...👇🏾

"Tuna Raisi Mnafiki wa Kutupwa Haijawahi Kutokea" - Tanzagiza...
🍺🍺🙈🙈

Watanzania wenzangu nchi yetu sote hii na Pombe anapotupeleka siko....#TusikaeKimya!

Watanzania wenye kujitambua na wazalendo kwa nchi yetu #HawakaiKimya

Tanzagiza #SikaiKimya
.....Hapo Chacha

🍺🍺🙈🙈
Swali la kizushi lililozagaa kila kona hapa nchini; Je hivi Bashite anampa nini Pombe mpaka hajitambui?
Daudi Albert Bashite anatakiwa awe Gerezani sio ofisini!
#pombesiochai
#mwafa
#usirudiekosa2020

See More
Image may contain: text
Tanzagiza added 2 new photos — with Muhidin Lauma and 4 others.
May 2, 2017

Licha ya kupotezwa...
::Je Madai ya Ben Saanane kuhusu elimu ya bwana fulani yaliwahi kujibiwa?::

Kama hayakuwahi kujibiwa,wao wanapata wapi uhalali wa kuhukumu wengine?

...

Kwa haya yanayoendelea nina hakika tungekuwa na wabunge au wanasiasa aina ya Julius Malema,swala hili sasa lingeibuliwa upya either ndani ya Bunge au hata nje ya Bunge.

Tusisahau charity begins at home.

Watanzania ni watu wapole sana nchi zingine huwezi fanya mambo kama haya wakaacha kukuanika wewe mwenyewe na wasaidizi wako wote.

By Salary Slip
JF-Expert Member
Source: JF

🍺🍺🙈🙈Eti..."PHD ya maganda ya korosho!" .. Ben bwana, tunaku-miss kwa kweli #bringbackben

Watanzania Mjue...👇🏾

"Tuna Raisi Mnafiki wa Kutupwa Haijawahi Kutokea" - Tanzagiza
🍺🍺🙈🙈

Watanzania wenzangu nchi yetu sote hii na Pombe anapotupeleka siko, Tusikae Kimya!

Watanzania wenye kujitambua na wazalendo kwa nchi yetu #HawakaiKimya

Tanzagiza #SikaiKimya
.....Hapo Chacha

🍺🍺🙈🙈
Swali la kizushi lililozagaa kila kona hapa nchini; Je hivi Bashite anampa nini Pombe mpaka hajitambui?
Daudi Albert Bashite anatakiwa awe Gerezani sio ofisini!
#pombesiochai
#mwafa
#usirudiekosa2020

See More
Image may contain: 1 person, hat
Image may contain: food

::Katibu mkuu TUCTA: Waliokutwa na vyeti feki wakiacha kazi kwa hiyari watakosa mafao yao::

Hii ni habari muhimu Sana kwa Wafanyakazi wanaoitwa wenye vyeti feki. Popote mlipo waathirika zingatieni hili.

"Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta), Dk Yahya Msigwa amesema wafanyakazi wa umma 9,932 waliobainika kuwa na vyeti bandia wakiacha kazi kwa hiari watakuwa wamekosa viinua mgongo vya miaka waliyoitumikia Serikali.

...

Dk. Msigwa amesema kama watumishi hao wataendelea kubaki kazini watashtakiwa kwa kughushi vyeti na kujipatia mshahara kinyume na sheria.Kwa mujibu wa Sheria ya Kazi na Uhusiano Kazini namba 6 ya mwaka 2004, mwajiri anawajibika kumlipa haki zake mfanyakazi pale anapomwachisha kazi.

Hata hivyo, Dk Msigwa amesema Serikali ikiamua kuwafukuza kazi kwa sheria hiyo ni lazima walipwe stahiki zao kwa sababu wameondolewa kwenye ajira kwa lazima.

Akinukuliwa na gazeti la Mwananchi amesema kuwa,“Kwa sheria ya kazi namba sita (ya mwaka 2004) hakuna neno kufukuzwa kazi, ukimwondoa kazini mtumishi ni lazima umlipe kiinua mgongo, ndiyo maana hapa ninaona agizo la Rais Magufuli ni mtego ili waache kazi wenyewe,” alisema."

By afsa
JF-Expert Member
Source JF

Eti mbona bashite kafoji cheti lakini ameng'ang'ania kama kupe, msikubali kuacha kazi kirahisi

Shikamoo Msigwa

Watanzania Mjue...👇🏾

"Tuna Raisi Mnafiki wa Kutupwa Haijawahi Kutokea" - Tanzagiza
🍺🍺🙈🙈

Watanzania wenzangu nchi yetu sote hii na Pombe anapotupeleka siko, Tusikae Kimya!

Msigwa #HakaiKimya

Watanzania wenye kujitambua na wazalendo kwa nchi yetu #HawakaiKimya

Tanzagiza #SikaiKimya
.....Hapo Chacha

🍺🍺🙈🙈
Swali la kizushi lililozagaa kila kona hapa nchini; Je hivi Bashite anampa nini Pombe mpaka hajitambui?
Daudi Albert Bashite anatakiwa awe Gerezani sio ofisini!
#pombesiochai
#mwafa
#usirudiekosa2020

See More
Image may contain: 1 person

::Waziri Muhongo kukataa Bunge kujadili tetemeko la ardhi Bukoba::

Ndugu Watanzania, mimi Mbunge wa Bukoba mjini Wilfred M Lwakatare kwa niaba ya wananchi ninaowawakilisha; nachukua fursa hii kupitia andiko langu la wazi kuwashukuru kwa maombi na dua, michango ya hali na mali hasa kipindi tulipopatwa na tetemeko Septemba 10 2016.

Kwa kipekee nivishukuru vyombo vya habari vilivyoujulisha umma hali ya wanakagera na tukapata kuchangiwa misaada mbalimbali kutoka kwa wadau ndani n...

Continue Reading
It looks like you may be having problems playing this video. If so, please try restarting your browser.
Close
Posted by Tanzagiza
65,687 Views
65K Views

Pombe amerudi Dar...inaonyesha wali miss-ana kinoma siku hizi mbili tatu ..wamefurahi wenyewe kweli kweli kukutana tena!..... Hivi macho na mdomo wa Bashite vipi hapo? ...au macho yangu tu? ....something in the air (kithungu)...alafu Afande kwa nyuma anavyomshangaa Bashite <<priceless>>......
Kama picha la kidosi vile🍺🍺🙈🙈
.......Hapo chacha!

🍺🍺🙈🙈...
Swali la kizushi lililozagaa kila kona hapa nchini; Je hivi Bashite anampa nini Pombe mpaka hajitambui?
Daudi Albert Bashite anatakiwa awe Gerezani sio ofisini!
#pombesiochai
#mwafa
#usirudiekosa2020

See More
Image may contain: 2 people, people standing and outdoor

'mungu wa darisalama' ...Bashite!

......Hapo Chacha

Watanzania Mjue...👇🏾

...

"Tuna Raisi Mnafiki wa Kutupwa Haijawahi Kutokea" - Tanzagiza
🍺🍺🙈🙈

Watanzania wenzangu nchi yetu sote hii na Pombe anapotupeleka siko....#TusikaeKimya!

Watanzania wenye kujitambua na wazalendo kwa nchi yetu #HawakaiKimya

Tanzagiza #SikaiKimya
.....Hapo Chacha

🍺🍺🙈🙈
Swali la kizushi lililozagaa kila kona hapa nchini; Je hivi Bashite anampa nini Pombe mpaka hajitambui?
Daudi Albert Bashite anatakiwa awe Gerezani sio ofisini!
#pombesiochai
#mwafa
#usirudiekosa2020

See More
Image may contain: 3 people

Haya ndio baadhi ya mabango yaliyozuiliwa na policcm ili yasimchukize Pombe ..mabango ya kumsifia na kumtukuza 'mungu wa mabashite wakubwa' AKA Pombe ndio yaliruhusiwa
....Hawa policcm wanatumiwa vibaya sana...

......Hapo Chacha

...

Watanzania Mjue...👇🏾

"Tuna Raisi Mnafiki wa Kutupwa Haijawahi Kutokea" - Tanzagiza
🍺🍺🙈🙈

Watanzania wenzangu nchi yetu sote hii na Pombe anapotupeleka siko....#TusikaeKimya!

Watanzania wenye kujitambua na wazalendo kwa nchi yetu #HawakaiKimya

Tanzagiza #SikaiKimya
.....Hapo Chacha

🍺🍺🙈🙈
Swali la kizushi lililozagaa kila kona hapa nchini; Je hivi Bashite anampa nini Pombe mpaka hajitambui?
Daudi Albert Bashite anatakiwa awe Gerezani sio ofisini!
#pombesiochai
#mwafa
#usirudiekosa2020

See More
Image may contain: one or more people
Image may contain: one or more people and outdoor

Ushauri wa bure kwa Serikali ya Pombe
👏🏾👏🏾👇🏾

::Ushauri Tuwekeze Ndege za Mizigo::

...Continue Reading
No automatic alt text available.

Tanzania ya V-wonder 🍺🍺🙈🙈
Maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani! ...Fisiem bwana ni shidah...
......Hapo Chacha

Watanzania Mjue...👇🏾

...

"Tuna Raisi Mnafiki wa Kutupwa Haijawahi Kutokea" - Tanzagiza
🍺🍺🙈🙈

Watanzania wenzangu nchi yetu sote hii na Pombe anapotupeleka siko....#TusikaeKimya!

Watanzania wenye kujitambua na wazalendo kwa nchi yetu #HawakaiKimya

Tanzagiza #SikaiKimya
.....Hapo Chacha

🍺🍺🙈🙈
Swali la kizushi lililozagaa kila kona hapa nchini; Je hivi Bashite anampa nini Pombe mpaka hajitambui?
Daudi Albert Bashite anatakiwa awe Gerezani sio ofisini!
#pombesiochai
#mwafa
#usirudiekosa2020

See More
Image may contain: one or more people and text
No automatic alt text available.

Mh. Rais Tundu Lissu: "Nchi hii inaonea sana wafanyakazi"
Shikamoo Mh. Rais Lissu

Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Mh Tundu Lissu amesema wafanyakazi lazima wasimame na kudai haki zao wala sio kuomba kwa kuwa ni haki yao" nchi hii inaonea sana wafanyakazi ukiangalia salary slip ya mfanyakazi wa Tanzania karibu 50% ni makato tu" alisema Lisuu.Mh Lissu ameongea hayo leo mjini Dodoam wakati wa kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani alipokutana na wajumbe wa shiriki...sho la wafanyakazi nchini mjini Dodoma
Source: Channel ten

By comrade igwe
JF-Expert Member

Watanzania Mjue...👇🏾

"Tuna Raisi Mnafiki wa Kutupwa Haijawahi Kutokea" - Tanzagiza
🍺🍺🙈🙈

Watanzania wenzangu nchi yetu sote hii na Pombe anapotupeleka siko, Tusikae Kimya!

Lissu #HakaiKimya

Watanzania wenye kujitambua na wazalendo kwa nchi yetu #HawakaiKimya

Tanzagiza #SikaiKimya
.....Hapo Chacha

🍺🍺🙈🙈
Swali la kizushi lililozagaa kila kona hapa nchini; Je hivi Bashite anampa nini Pombe mpaka hajitambui?
Daudi Albert Bashite anatakiwa awe Gerezani sio ofisini!
#pombesiochai
#mwafa
#usirudiekosa2020

See More
Image may contain: one or more people

Mchumia tumbo - Minyoo ya Mrisho Mpoto inampeleka pabaya....
Hii njaa ni shidah kwa kweli .. Sasa minyoo aliyonayo itakula nini bila kujipendekeza?
.....Hapo Chacha!

Kutoka meza ya BRUCE LEE 👇🏾

...

Wengi tunamfaham Mrisho Mpoto na namna gani alivyo mzuri katika matumizi ya fasihi kufikisha ujumbe pamoja na kuikosoa serikali, alijipatia umaarufu mkubwa sana katika utawala uliopita baada ya kua anafikisha ujumbe kwa kutumia mashairi yake ya mjomba, kiukweli wengi tulimpenda saana na kuhisi pengine na yeye ni mmoja kati ya wazalendo wachache waliobaki na wenye uthubutu wa kutumia vipaji na uelewa wao katika kuirekebisha jamii hasa tabaka tawala bila kua na hofu.
Nilichokiona leo moshi, ni tofauti na nilivyozea kumuona na kumsikia mrisho mpoto, nimeona unafiki kabisa katika mashairi yake, na pia nimeuona uongo wa dhahiri pamoja na kumsifia saana mheshimiwa Rais mpaka kufikia kumpa cheo kipya kua rais wa sasa ni mteule kutoka kwa Mungu na pia ameshusha toka mbinguni hivyo basi yupo sahihi saana na ni rais pekee ambao hajawahi tokea hapa tanzania pengine na afrika kwa ujumla.

swali linalo niumiza zaidi ni kwamba je Mrisho Mpoto katumwa au kajituma mwenyewe kuongea yale maneno? kashinikizwa au kaongea kwa utashi wake?

nimeanza kua na mashaka ya huko tunapoelekea maana kitendo cha kuwatumia watu wenye ushawishi mkubwa katika jamii kama mrisho mpoto kutuaminisha kua rais ni bora sana na pia ni mteule wa mungu na ndio maana hata mvua imenyesha hapo uwanjani ni dalili tosha hata siku rais akiingiwa na tamaa ya kutaka kufanana na wenzake akina kagame, museven na kabila ili katiba ibadilishwe na akae muda mrefu, watu hawa akina mpoto wakitumika tunaweza ingiwa kwenye matatizo makubwa ya utawala wa ki imla.
Source JF

Watanzania Mjue...👇🏾

"Tuna Raisi Mnafiki wa Kutupwa Haijawahi Kutokea" - Tanzagiza
🍺🍺🙈🙈

Watanzania wenzangu nchi yetu sote hii na Pombe anapotupeleka siko, Tusikae Kimya!

Bruce Lee #HakaiKimya

Watanzania wenye kujitambua na wazalendo kwa nchi yetu #HawakaiKimya

Tanzagiza #SikaiKimya
.....Hapo Chacha

🍺🍺🙈🙈
Swali la kizushi lililozagaa kila kona hapa nchini; Je hivi Bashite anampa nini Pombe mpaka hajitambui?
Daudi Albert Bashite anatakiwa awe Gerezani sio ofisini!
#pombesiochai
#mwafa
#usirudiekosa2020

See More
Image may contain: 1 person

Unafiki na Roho Mbaya ya Pombe
- Kuna Giza Nene👇🏾

Kutoka meza ya Mange

...

mangekimambi_Wamewa target sana watu wanaostaafu ili wasiwalipe mafao 😩😩... Kuna giza nene sana kwenye Hii issue ya vyeti feki. Na Magufuli kafanya kusudi kuwatishia kuwa wasipoondoka wenyewe watafungwa miaka 7. Jamani Kama unajijua huna cheti feki usiondokeeee, komaaa nao sababu wengi mnooo wanalalamika wana vyeti original wanashangaaa wamewekwa kwenye listi...
.
.
Kuna umuhimu wa mawakili kujitolea kuwa represent hawa watanzania wanaotolewa kazini sababu serikali haina pesa! I have a feeling itakuja gundulika a lot of them wamesingiziwa, Hii listi itakuwa Kama ile listi ya wanafunzi wa vyuo walioambiwa waondoke vyuoni sababu hawana sifa. Mbona walikomaaa Na hawakuondoka?? Hata hawa wafanyakazi wakomaeeeee.... .
.
.
.
Watu wengine wanastaafu mwaka huu wengine mwakani why asiwalipe mafao yao watu wametumikia Nchi miaka yooote hiyo Leo anawarudisha mtaani bila mkononi, wataishije Jamani?

Source Mange's Page

Watanzania Mjue...👇🏾

"Tuna Raisi Mnafiki wa Kutupwa Haijawahi Kutokea" - Tanzagiza
🍺🍺🙈🙈

Watanzania wenzangu nchi yetu sote hii na Pombe anapotupeleka siko, Tusikae Kimya!

Mange #HakaiKimya

Watanzania wenye kujitambua na wazalendo kwa nchi yetu #HawakaiKimya

Tanzagiza #SikaiKimya
.....Hapo Chacha

🍺🍺🙈🙈
Swali la kizushi lililozagaa kila kona hapa nchini; Je hivi Bashite anampa nini Pombe mpaka hajitambui?
Daudi Albert Bashite anatakiwa awe Gerezani sio ofisini!
#pombesiochai
#mwafa
#usirudiekosa2020

See More
Image may contain: text

Lissu ndio habari ya Mujini!
Shikamoo Lissu! ....

Watanzania Mjue...👇🏾

...

"Tuna Raisi Mnafiki wa Kutupwa Haijawahi Kutokea" - Tanzagiza
🍺🍺🙈🙈

Watanzania wenzangu nchi yetu sote hii na Pombe anapotupeleka siko, Tusikae Kimya!

Lissu #HakaiKimya

Watanzania wenye kujitambua na wazalendo kwa nchi yetu #HawakaiKimya

Tanzagiza #SikaiKimya
.....Hapo Chacha

🍺🍺🙈🙈
Swali la kizushi lililozagaa kila kona hapa nchini; Je hivi Bashite anampa nini Pombe mpaka hajitambui?
Daudi Albert Bashite anatakiwa awe Gerezani sio ofisini!
#pombesiochai
#mwafa
#usirudiekosa2020

See More
Image may contain: 2 people, people smiling
Image may contain: 2 people, people smiling
Image may contain: 1 person
Image may contain: 2 people, people smiling